• SIKU YA USAJILI
  Wananchi waliohufhuria katika Maadhimisho ya siku ya Usajili Afrika yaliyofanyika Ukongoroni Wilaya ya Kati Unguja, Agosti 10, 2022.
 • SIKU YA USAJILI
  Mkurugenzi Mtendaji wa ZCSRA Mr. Mohamed Ame Makame akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe: Rashid Hadid Rashid katika Maadhimisho ya Siku ya Usajili Afrika yaliyofanyika katika kijiji cha Ukongoroni Wilaya ya Kati Unguja, Agosti 10, 2022.
 • SAJILI KIZAZI
  Fika katika kituo chako husika cha wilaya cha Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar kwa ajili ya kusajili Kizazi.
 • USAJILI WA KIFO
  Fika katika kituo chako husika cha wilaya cha Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar kwa ajili ya kusajili Kifo.
 • SIKU YA USAJILI
  Wananchi waliohufhuria katika Maadhimisho ya siku ya Usajili Afrika yaliyofanyika Ukongoroni Wilaya ya Kati Unguja, Agosti 10, 2022.

Mkurugenzi Mtendaji

Karibu ZCSRA

Wakala wa Usajili wa matukio ya Kijamii Zanzibar ni muungano wa Taasisi ya Afisi ya Vizazi na Vifo na Afisi ya Usajili na Kadi za Utambulisho Zanzibar. Afisi hii imeanzishwa kwa Sheria Namba 3 ya 2018, ina majukumu ya kusajili Matukio ya kijamii na kutoa vyeti vya Vizazi, Vifo, Ndoa, Talaka na Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi

Matangazo

...

SHERIA NYEPESI NDOA NA TALAKA

...

SHERIA NYEPESI KITAMBULISHO MZANZIBARI MKAAZI

...

MUONGOZO

...

KATIBA NA SHERIA YA WAKALA WA USAJILI WA MATUKIO KIJAMII ZANZIBAR

Matukio Ya Hivi Karibuni

Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
Tukishiriki katika Matukio mbali mbali