Kuhusu Sisi

Huduma Zetu

Wakala wa Usajili wa matukio ya Kijamii Zanzibar ni muungano wa Taasisi mbili zilizokuwa na mamlaka kamili za kiutendaji, ofisi zenyewe ni Afisi ya Vizazi na Vifo na Afisi ya Usajili na Kadi za Utambulisho Zanzibar. Afisi hii imeanzishwa kwa Sheria Namba 3 ya 2018, ina majukumu ya kusajili Matukio ya kijamii na kutoa vyeti maalum, matukio hayo ni Vizazi, Vifo, Ndoa, Talaka na Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi na wasiyokua Wazanzibari Wakaazi.

  •  Usajili wa Vizazi
  •  Usajili wa Vifo
  •  Usajili wa Ndoa
  •  Usajili wa Talaka
  •  Usajili wa Vitambulisho
  •  Uhakiki wa Vyeti

Huduma hizi zipo kwa mujibu wa sheria ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, Zikielezwa hapo chini kama ifuatavyo-;

Usajili wa Vizazi

Wakala inasajili Vizazi na kutoa Shahada Maalum (vyeti) vinavyothibitisha Vizazi hivyo.

Soma Zaid
Usajili wa Vifo

Wakala inasajili Vifo na kutoa Shahada Maalum (vyeti) vinavyothibitisha vifo hivyo.

Soma Zaidi
Usajili wa Ndoa

Wakala inasajili Ndoa na kutoa Shahada Maalum (vyeti) vinavyothibitisha Ndoa hiyo.

Soma Zaidi
Talaka

Talaka ni hatua ya ndoa kuvunjika moja kwa moja kabla ya mume au mke kufariki.

Soma Zaidi
Utambulisho

Talaka ni hatua ya ndoa kuvunjika moja kwa moja kabla ya mume au mke kufariki.

Soma Zaidi
Uhakiki

Wakala ina haki ya kuhakiki Huduma zote inazotoa ili kutambua uhalali wa huduma hizo.

Soma Zaidi