Wafanya Kazi

Gharama


Kitambulisho cha Kazi (Taasisi za Serikali):

Bei : 5,000/= (Tzs)

Kitambulisho cha kazi kwa Mashirika ya Umma:

Bei : 10,000/= (Tzs)

Wafanya Kazi


Utaratibu:
  • Taasisi inatakiwa iandike Barua Rasmi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamaa Zanzibar
  • Barua hiyo iwe ya kuomba kusajiliwa kwa wafanyakazi husika na kupatiwa Vitambulisho vya kazi
  • Kuambatanisha Jadueli la wafanya kazi wanaohitaji Vitambulisho kwa kuzingatia taarifa zifuatazo
    • Nambari (SerialNo)
    • Nambari ya Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi (ZANID NO)
    • Jina Kamili (Full Name)
    • Cheo
    • Idara
    • Nambari ya Mfanyakazi (Employee No)