• KIKAO
  Mkurugenzi Mifumo na Miundo Mbinu wa ZCSRA akitoa mafunzo ya Mfumo mpya wa CRVS kwa Watendaji wa ZCSRA na OCGS katika Ukumbi wa Katiba na Sheria Mazizini Zanzibar.
 • KIKAO
  Mkurugenzi wa Mifumo na Miundo Mbinu wa ZCSRA (katikati) akiwasilisha mada katika kikao cha Uongozi (Management Review) Kilichofanyika katika ukumbi wa Katiba na Sheria Mazizini Zanzibar.
 • SAJILI KIZAZI
  Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar inasajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa katika ofisi zote za Wilaya Unguja na Pemba.
 • SAJILI KIFO
  Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar inasajili na kutoa Vyeti vya kifo katika ofisi zao zote za Wilaya Unguja na Pemba
 • VITAMBULISHO
  Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar inatoa vitambulisho kwa kutumia mfuomo wa mtandaoni(Online Registration).

Mkurugenzi Mtendaji

Karibu ZCSRA

Wakala wa Usajili wa matukio ya Kijamii Zanzibar ni muungano wa Taasisi ya Afisi ya Vizazi na Vifo na Afisi ya Usajili na Kadi za Utambulisho Zanzibar. Afisi hii imeanzishwa kwa Sheria Namba 3 ya 2018, ina majukumu ya kusajili Matukio ya kijamii na kutoa vyeti vya Vizazi, Vifo, Ndoa, Talaka na Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi

Matangazo

...

Tangazo la kupeleka Huduma za Vyeti vya Ndoa Mawilayani

...

Vyeti vya Nje ya Wakati Mtandaoni

...

MUONGOZO

...

KATIBA NA SHERIA YA WAKALA WA USAJILI WA MATUKIO KIJAMII ZANZIBAR

Matukio Ya Hivi Karibuni

Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
Tukishiriki katika Matukio mbali mbali