Talaka

Gharama


Ufatilia kumbukumbu (Search) :

Bei : 2,000/= (Tzs)

Usaji cheti cha Talaka:

Bei : 20,000/= (Tzs)

Buku la Talaka:

Bei : 125,000/= (Tzs)

Kubadilisha taarifa:

Bei : 20,000/= (Tzs)

Talaka


Talaka ni hatua ya ndoa kuvunjika moja kwa moja kabla ya mume au mke kufariki.

Utaratibu wa Kusajili Talaka:
 • Tangazo la Talaka (notification)
 • Kuwasilisha vivuli vya Vitambulisho vya Mume au Mke, kitambulisho kinaweza kuwa:
  • Mzanzibari Mkaazi
  • Mtanzania (NIDA)
  • Leseni ya Udereva
  • Hati ya Kusafiria
  • Kitambulisho cha Mpiga Kura
 • Vitambulisho vya Mashahidi wawili