Gharama
-
Kitambulisho cha Kazi (Taasisi za Serikali):
Bei : 5,000/= (Tzs)
-
Kitambulisho cha kazi kwa Mashirika ya Umma:
Bei : 10,000/= (Tzs)
Utaratibu:
- Taasisi inatakiwa iandike Barua Rasmi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamaa Zanzibar
- Barua hiyo iwe ya kuomba kusajiliwa kwa wafanyakazi husika na kupatiwa Vitambulisho vya kazi
- Kuambatanisha Jadueli la wafanya kazi wanaohitaji Vitambulisho kwa kuzingatia taarifa zifuatazo
- Nambari (SerialNo)
- Nambari ya Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi (ZANID NO)
- Jina Kamili (Full Name)
- Cheo
- Idara
- Nambari ya Mfanyakazi (Employee No)