Gharama

MCHANGANUO WA ADA KWA HUDUMA ZA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII - ZANZIBAR

Mchanganuo huu ni kwa mujibu wa Kanuni ya 6, 7, 11, 14, 17,20, 23, 30, 38, 40 na 46 - Kanuni za Usajili wa Matukio ya Kijamii za Mwaka 2020

Gharama zetu Mpya

Namb HUDUMA ZETU ADA
1 Cheti cha kuzaliwa ndani ya Wakati wa siku 42 baada ya kuzaliwa 2,500/=
2 Cheti cha kuzaliwa cha Usajili wa ndani ya wakati na kuombwa baada ya Miezi 3 7,000/=
3 Cheti cha Kifo cha Usajili wa ndani ya Wakati na kuombwa ndani ya Miezi 3 1,500/=
4 Cheti cha Kifo cha Usajili wa ndani ya Wakati na kuombwa baada ya Miezi 3 3,500/=
5 Fomu ya maombi ya cheti cha Kuzaliwa cha nje ya Wakati Late Registration of Birth Application Form 3,000/=
6 Cheti cha Kuzaliwa cha Nje ya Wakati, Kuanzia siku 43 mpaka mwaka 1 na Miezi 11 22,000/=
7 Cheti cha Kuzaliwa cha Nje ya Wakati, Kuanzia Miaka 2-5 na Miezi 11 32,000/=
8 Cheti cha Kuzaliwa cha Nje ya Wakati, Kuanzia Miaka 6 na kuendelea 42,000/=
9 Cheti cha Kifo cha Nje ya Wakati, Kuanzia siku saba (7) mpaka mwaka mmoja (1) 11,000/=
10 Cheti cha Kifo cha Nje ya Wakati, Kuanzia mwaka mmoja (1) mpaka miaka 2 20,000/=
11 Cheti cha Kifo nje ya Wakati kuaniza Miaka Miwili (2) na kuendelea 50,000/=
12 Utafutaji Kumbukumbu / Search 2,000/=
13 Kuthibitisha Cheti / Authentication of Certificate 7,000/=
14 Cheti cha Ndoa 20,000/=
15 Cheti cha Talaka 20,000/=
16 Buku la Ndoa 125,000/=
17 Buku la Talaka 125,000/=
18 Cheti cha Kutokuwa na Ndoa / Certificate of No impediment of marriage 20,000/=
19 Usajili wa Cheti cha Ndoa kilichopotea au kuharibika 20,000/=
20 Kurekebisha herufi au spelling katika cheti cha Kuzaliwa 20,000/=
21 Cheti cha Kuzaliwa au Kifo kilichopotea au kuharibika 4,000/=
22 Kurekebisha herufi au spelling katika cheti cha Kifo 20,000/=
23 Kubadili jina katika cheti cha Kuzaliwa 30,000/=
24 Kubadili jina katika cheti cha Kifo 30,000/=
25 Kubadili taarifa katika cheti cha Ndoa au Talaka 20,000/=
26 Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi kwa muombaji asiezidi miaka 25 Hakilipiwi (Bure)
27 Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi kwa muombaji zaidi ya miaka 25 20,000/=
28 Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi aliepoteza kwa mara ya kwanza au kuharibika 20,000/=
29 Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi anaehitaji marekebisho kwa mara ya pili 30,000/=
30 Kubadilisha taarifa katika Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi 20,000/=
29 Kitambulisho cha kazi mbali mbali kwa Taasisi za Serikali 5,000/=
30 Kitambulisho cha kazi mbali mbali kwa mashirika ya Umma na Taasisi Binafsi 10,000/=