LESENI KWA WAFUNGISHAJI NDOA
Naibu Mkurugenzi Mtendaji (ZCSRA) (kulia), Mkurugenzi Usajili (kushoto) wakimkabidhi Msajili wa Ndoa na Talaka Leseni ya Ufungishaji Ndoa, Ukumbi wa Katiba na Sheria Mazizini Zanzibar
Soma Zaidi- Januari 8, 2024
Wakala wa Usajili wa matukio ya Kijamii Zanzibar ni muungano wa Taasisi ya Afisi ya Vizazi na Vifo na Afisi ya Usajili na Kadi za Utambulisho Zanzibar. Afisi hii imeanzishwa kwa Sheria Namba 3 ya 2018, ina majukumu ya kusajili Matukio ya kijamii na kutoa vyeti vya Vizazi, Vifo, Ndoa, Talaka na Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi
Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
Tukishiriki katika Matukio mbali mbali
Naibu Mkurugenzi Mtendaji (ZCSRA) (kulia), Mkurugenzi Usajili (kushoto) wakimkabidhi Msajili wa Ndoa na Talaka Leseni ya Ufungishaji Ndoa, Ukumbi wa Katiba na Sheria Mazizini Zanzibar
Soma ZaidiMakamo Mwenyekiti Bodi, Bi Fatma akiwa kwenye Picha ya Pamoja na Wakurugenzi wa ndani wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii walioshiriki Kikao kazi katika Ukumbi wa Mwanasheria Mkuu
Soma ZaidiViongozi na wananchi mbali mbali waliojitokeza katika kuadhimisha siku ya Usajili wa Matukio ya Kijamii Afrika. Upande wa Zanzibar yaliadhimishwa wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Soma ZaidiMakamo Mwenyekiti Bodi, Bi Fatma akiwa kwenye Picha ya Pamoja na Maafisa Usajili Wilaya wa ZCSRA walioshiriki Kikao kazi katika Ukumbi wa Mwanasheria Mkuu, Mazizini Mjini Zanzibar
Soma ZaidiNaibu Mkurugenzi Mtendaji (ZCSRA) (kulia), Mkurugenzi Usajili (kushoto) baada ya kumkabidhi Msajili wa Ndoa na Talaka Leseni ya Ufungishaji Ndoa, Ukumbi wa Katiba na Sheria Mazizini Zanzibar
Soma Zaidi